Kwa wanaoishi U.S.A.

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Posts
984
Reaction score
133
Nina mizigo yangu nataka kutuma nyumbani kwa kutumia kontena. Je kuna mbongo/wabongo wowote ambao wana mizigo ya kutuma? Kama wapo, basi naomba tuwasiliane kuona kama tunaweza kubanana kwenye kontena moja na kugawana gharama.

Tusonge mbele!!


Mod, naomba unisaidie kuiweka hii mahala panapohusika.......kama hapa sipo.
 
Unaituma kutoka STATE gani?



 

Ningejua unaazia state gani tungeongea zaidi kwa vile mie hutuma container zangu karibu kila baada ya miezi mitatu, na gharama huwa ni kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…