Kwa wanaojua bei ya maembe kwa Dar

Kwa wanaojua bei ya maembe kwa Dar

pevu

Senior Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
110
Reaction score
70
Nataka kujua bei ya embe, mimi nipo Kahama, Shinyanga. Tafadhali mnaojua bei kwa azam na kwingineko naomba mnijulishe.

Nina gunia zaidi ya 150 nataka niangue hivyo nataka kujua bei kwa kilo au gunia.
 
Back
Top Bottom