Kwa wanaojua, msaada tafadhali

haule.scola

Senior Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
148
Reaction score
28
habari ya jumapili, samahani ninatafuta chuo cha ualimu kwa ngazi ya cheti pia nauliza kwa wanaoelewa naomba kujua kama kwa matokeo haya naweza kupata hiyo nafasi, C moja, D Tatu, na E tatu
 
Ingia ww.moe.com kuna mambo yote
 
nacho fahamu siku hizi hakuna mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti,nikuanzia diploma tu na sifa ni credit au division three ya dhamani..
 
nacho fahamu siku hizi hakuna mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti,nikuanzia diploma tu na sifa ni credit au division three ya dhamani..

true.....mwambie aende vyuo vya biashara skuiz ualimu umepanda bei ndo maana na mishahara wamepandishiwa ....na watazid kupandishiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…