MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
mimi nimehitimu chuo katika mambo ya biashara na computer ya IT sasa katika kukaa mda mrefu kitaa nimeona nianze biashara ya kufuga kuku wa nyama kama mama yangu alivyo kuwa anafanya sasa kwa sasa nina banda zuri tu na nina taka kuanza na kuku mia mbili tu na kama biashara ikiwa nzuri nita ongeza mataji kwa kweli naomba kujua fitu vifuayavyo"
1)faida ndani ya hao kuku 200 ukitoa mtaji
2)kujua jinsi ya kuwa na kuku bora na wakubwa hata ikiwezekana madawa mazuri ili wanone
3)pia kuhusu kufa kwa huwa kipi kina wauwa sana
4)na ushauri wako kama mdau