Mi nawafuga tena nachukuaga 200 but changamoto ni moja msosi!! Ukitaka wakue haraka lisha msos wa dukan lakin faida inazd kuwa ndogo!! Ukitaka faida iongezeke lisha chakula cha kuchanganya mwenyewe!! Faida n kama lak2 na nusu au laki tatu hivi ukitoa na vitu vinginemimi nimehitimu chuo katika mambo ya biashara na computer ya IT sasa katika kukaa mda mrefu kitaa nimeona nianze biashara ya kufuga kuku wa nyama kama mama yangu alivyo kuwa anafanya sasa kwa sasa nina banda zuri tu na nina taka kuanza na kuku mia mbili tu na kama biashara ikiwa nzuri nita ongeza mataji kwa kweli naomba kujua fitu vifuayavyo"
1)faida ndani ya hao kuku 200 ukitoa mtaji
2)kujua jinsi ya kuwa na kuku bora na wakubwa hata ikiwezekana madawa mazuri ili wanone
3)pia kuhusu kufa kwa huwa kipi kina wauwa sana
4)na ushauri wako kama mdau
asante kijana wangu wewe unafugia mkoa gani hasa na soko la kuku mmoja limefika shilingi ngapiMi nawafuga tena nachukuaga 200 but changamoto ni moja msosi!! Ukitaka wakue haraka lisha msos wa dukan lakin faida inazd kuwa ndogo!! Ukitaka faida iongezeke lisha chakula cha kuchanganya mwenyewe!! Faida n kama lak2 na nusu au laki tatu hivi ukitoa na vitu vingine