Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,564 Reaction score 1,991 May 27, 2013 #1 Wadau napenda kuuliza: ni wapi kwa hapa Dsm, naweza kupata Tution nzuri inayofundisha Lugha ya Kiingereza, pia kuna uwezekano wakupata Chuo bila ya kuwa na Cheti cha form 4?
Wadau napenda kuuliza: ni wapi kwa hapa Dsm, naweza kupata Tution nzuri inayofundisha Lugha ya Kiingereza, pia kuna uwezekano wakupata Chuo bila ya kuwa na Cheti cha form 4?