Kuna ndugu yangu alifanya interview erolink jana it was written interview je huwa wanachukua muda gani to call for second interview? Anataka kujua maana yeye anakaa mkoan thanx
Duu kwahiyo unamshauri bora arudi kijijin akangojee maana ameshukia kwa ndugu mtata akadhan angeweza kungoja kwa siku mbili tatu kumbe huwa inachukuwa muda kidogo? Du asante mkuu ngojea nimwambie ajipange