Kwa wanaokaa/waliohawahi kukaa Malaysia

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Habari wakuu,

Nipo Kuala Lumpur, Malaysia. Nitakua hapa kwa muda usiozidi miezi miwili na nusu. Kwa wale ambao wanaishi au walishawahi kuishi hapa Kuala Lumpur naomba msaada/ushauri wa mambo yafuatayo;

1. Njia rahisi ya kuwasiliana kwa simu na watu wangu wa Tanzania. Ni bora kununua laini ya simu kwa ajili ya mobile phone au kutumia land line!

2. Wapi karibu na hapa Kuala lumpar au maeneo karibu na hapa (to be specific maeneo karibu na viwanja vya golf kunaitwa SAUJANA) naweza kupata apartment kwa bei fresh.

Asanteni
 
Google!
 

Mission accomplished, thread closed. Thanx
 
heh heh eeeeee majibu mengine kweli utata kwanini kama hujui usikae kimya tu jamani mwenzenu anauliza nyie mwaleta mzaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…