Kwa wanaooa kesho - neno la mjomba!

Kwa wanaooa kesho - neno la mjomba!

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Posts
9,613
Reaction score
7,889
“Congratulations my boy!” said the groom’s uncle.

“I’m sure you’ll look back and remember today as the happiest day of your life.”

“But I’m not getting married until tomorrow.” Protested his nephew.

“I know,” replied the uncle.

“That’s exactly what I mean.”
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:Oh my god,you need to be very smart to understand this joke,but it is very funny:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
the uncle meant its nice to be free and he will remember the freedom days. It is good
 
Wajomba wana wosia, anamsisitizia dogo siku ya furaha kuu ni ile siku kabla ya kuoa, baada ya hapo timbwilitimbwili
 
kesho waoa nini mkuu????naona wakataa ukweli..tualike tushangilie:dance::dance::biggrin1::A S-rose:
Pole sana ndugu yangu, kwa bahati nzuri nipo ndani ya ndoa yangu yenye furaha na mafanikio tele, kwa zaidi ya miaka kumi (11) sasa Alhamdulillah!
 
mbona mjomba anatuogopesha wkt wengine tunaombea hizo siku zifike tukidhani ndio zitakazokuwa siku za furaha maishani
 
mbona mjomba anatuogopesha wkt wengine tunaombea hizo siku zifike tukidhani ndio zitakazokuwa siku za furaha maishani
Asikudanganye mtu, maisha ya kwenye ndoa ni matamu hakuna mfano wake.
 
Back
Top Bottom