the uncle meant its nice to be free and he will remember the freedom days. It is good
Hana lolote, mjomba ni fisadi tu huyo!
Pole sana ndugu yangu, kwa bahati nzuri nipo ndani ya ndoa yangu yenye furaha na mafanikio tele, kwa zaidi ya miaka kumi (11) sasa Alhamdulillah!kesho waoa nini mkuu????naona wakataa ukweli..tualike tushangilie:dance::dance::biggrin1::A S-rose:
Asikudanganye mtu, maisha ya kwenye ndoa ni matamu hakuna mfano wake.mbona mjomba anatuogopesha wkt wengine tunaombea hizo siku zifike tukidhani ndio zitakazokuwa siku za furaha maishani