Wanaume wengi wenye wake wawili wanapenda wasipatane ili competition yake yeye ndio anafaidi matunda.
wivu nilonao siwezi akioa mke wa pili mie talaka mkononi
Swali:-
MY TAKE:- MLA VYA WENZAKE NAE VYAKE HULIWA!!!!!!!!:embarrassed:
- Je unapoenda kulala kwa mke mdogo unamuaga vipi mke mkubwa?
- Je unamwamini vipi mkeo kama na yeye achakachuliwi uwapo kwa mke mdogo?
- Je hivi mkeo akiingiza njemba na kulala nae utamlaumu?
- Je ni hatua gani utachukua ukikuta mkeo anachakachuliwa?
- Je kuna ubaya gani kama mkeo na yeye atakuaga kuwa anaenda kuchakachuliwa?
hahaaa,ni ngumu sana,cjui waliopo kwenye hali hiyo(wanawake) wanahandle vipi!
Wivu nilonao siwezi akioa mke wa pili mie talaka mkononi
mmmh.ninawafahamu wake wenza fulani,wanaelewana ajabu,na huwezi kuwaingilia kwenye ndoa yao.ila wanaoelewana ni wachache mno.maybe w.me mjibu hilo swali,maana wengine huoa kwa kuficha

sio lazima aoe rasmi,
anaweza kuwa na mpango wa nje tu!
Hapo vipi, utaomba talaka pia?
Thankx mkuu ila kwa utafiti wangu nliofanya nimegundua kuwa wake wenza wengi hawapatani.
Hilo swali ungemuuliza baba yakoSwali:-MY TAKE:- MLA VYA WENZAKE NAE VYAKE HULIWA!!!!!!!!:embarrassed:
- Je unapoenda kulala kwa mke mdogo unamuaga vipi mke mkubwa?
- Je unamwamini vipi mkeo kama na yeye achakachuliwi uwapo kwa mke mdogo?
- Je hivi mkeo akiingiza njemba na kulala nae utamlaumu?
- Je ni hatua gani utachukua ukikuta mkeo anachakachuliwa?
- Je kuna ubaya gani kama mkeo na yeye atakuaga kuwa anaenda kuchakachuliwa?
Swali:-
- Je unapoenda kulala kwa mke mdogo unamuaga vipi mke mkubwa?
- Je unamwamini vipi mkeo kama na yeye achakachuliwi uwapo kwa mke mdogo?
- Je hivi mkeo akiingiza njemba na kulala nae utamlaumu?
- Je ni hatua gani utachukua ukikuta mkeo anachakachuliwa?
- Je kuna ubaya gani kama mkeo na yeye atakuaga kuwa anaenda kuchakachuliwa?
Aolewe rasmi na Mwwanaume zaidi ya mmoja.....:coffee: