kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante, ngoja tujaribu bahati zetu.
thanks Kingwendu
we ccm nini untengeneza katiba unalazimisha tena tufanye unavyotaka wape ka uhuru kdgo jmani afghanistan sudan pesa nje njeni vizuri ukachagua afrika hasa kwa nchi majirani zetu!kuliko kuomba mbali!
we ccm nini untengeneza katiba unalazimisha tena tufanye unavyotaka wape ka uhuru kdgo jmani afghanistan sudan pesa nje nje
thanks Kingwendu
Thanks Kilimasera. ''Ubaya'' wa hawa jamaa, kama huna Masters, chance ya kukamata job ni finyu sana au haipo kabisa
true kabisa, ila sisemi msijaribu lakini pia mjue lucky=preparations+opportunity kwa hiyo kama huna mastaz kasome kwanza,pia wanapenda sana ujue na lugha moja hivi extra, french,kiarabu n.k
na kichaga zaidi
jitahdini
msome mkijue
ila nchi zake TATA
AFGHA/KUWAIT/IRAN/IRAX/MADAGASCAR/IVORYCOAST/SOMALIA/NAONA TUNISIA NAO WAMEINGIZWA MMH MOLA TUSAIDIE NA MAKARATASI YETU KAZI TUNAZIPENDA ILA UHAI ZAIDI