Kwa wanaopenda movies kama mimi!

Kwa wanaopenda movies kama mimi!

Microsoft

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
623
Reaction score
366
Natafuta mtu wa kubadilishana nae stuffs lyk movies, programs n.k, mimi ni mpenzi sana wa vitu hivyo so i wish nikapata watu wawili watatu wenye hobies kama zangu, library yangu ya movies ina movies kama 300 hivi, but may be nilizonazo mimi kuna mtu hana na alizonazo yeye na mimi sina coz huwezi ukaweza kudownload movies zote ziizopo online, so ni vizuri kama nitapata mtu wa kubadilishana nae bure ili wote tuenjoy! nipo Dar, if you wish ni PM kama vp! peace
 
....natafuta mtu wa kubadilishana nae stuffs lyk movies,programs n.k,mimi ni mpenzi sana wa vitu hivyo so i wish nikapata watu wawili watatu wenye hobies kama zangu,library yangu ya movies ina movies kama 300 hivi,but may be nilizonazo mimi kuna mtu hana na alizonazo yeye na mimi sina coz huwezi ukaweza kudownload movies zote ziizopo online,so ni vizuri kama nitapata mtu wa kubadilishana nae bure ili wote tuenjoy!nipo dar,if you wish ni PM kama vp!peace
Du kaka sisi tunanunua za kichina made in kariakoo kwa Tsh 3000 hazina ubora wowote sasa sijui ungependa movie zenye maudhui gani kwani kwa mwenye library ya movie 300 sijui kama hujazimaliza kuziona zote na kwa vile unazishusha naona utakuwa na latest na za nguvu,huenda basi tubadilishane na za akina KANUMBA na KIGOSI huenda hizo ndio utakuwa huna kwani zinafyatuliwa kila kukicha ,kwani produza ndie stelingi mwenyewe ndie script writer mwenyewe ,pia ndarekita menyewe kwa hiyo akilala tu kesho anaamua ajitengenezea movie
 
Ni vigumu sana kuwa nimeangalia movies zote coz kiukweli mov zinatoka kila siku nyingi tu,na bado watu wanazidi kuigiza,and kusema kweli mimi ni mpenzi wa muv long time but imefika kipindi nikajikuta nachoka kununua cd kwasabu hiyo hiyo unanunua cd unakuta quality mbovu,mara sauti hamna n.k so unakuta kupata mov latest hapa bongo yenye quality nzuri tena on time ni vigumu kidogo,may be uende katika maduka makubwa napo bei smtym hii ndio sababu iliyonifanya nianze maisha ya kudownload movies,coz napata muv latest na quality nzuri tena sana,and siwezi kujisifu kwamba muv zote hizo almost 300 nimedownload mimi?no,mimi pia nina watu ambao wana hobies kama zangu,so most of the time tuna exchange pia,anyway napenda action movies sana .
 
Niko na 3TB movies, series and documentaries, I miss the most recent movies. It is the good idea to make the exchange. Pls tuwasiliane!
 
Ziko shallow mpaka kichefu chefu! Ni goofs mwanzo mwisho!
 
Unatumia packahe gani kushusha hizo movie na ni package ya mtandao upi kwa mana kushusha movie hapa bongo na speed ya inatanet zetu na charge ya hizo bundle sijui mwenzetu utusaidie ili nasi tuanze kuzishusha hizo movies kwa kasi mpya na ari mpya na kupata picha bora kwa kila mtanzania
 
Mambo mazuri huwa hayahitaji haraka,mi natumia sana airtel,
 
Niko na 3TB movies, series and documentaries, I miss the most recent movies. It is the good idea to make the exchange. Pls tuwasiliane!

Dah! wakuu mnaniumiza mazee! Data zilizonichukua 6years kukusanya zikapotea in a single f**kin day!! damn damn damn damn damn damn! fk****$%#. Hakyanani wakuu nikija mjini nitawatafuta.
 
Sana sana action n comedy,but hata za kutisha na za story huwa naangalia!

Napenda sana action movies ila nina story movies kibao ambazo nimejaza kwenye xtermal yangu na siziangalii,kama vipi ntakucheki basi
 
Niko na 3TB movies, series and documentaries, I miss the most recent movies. It is the good idea to make the exchange. Pls tuwasiliane!

Duh, bro unatisha sana.
Naweza kukusaidia kutunza hizo movie, in case mambo yanakwama unaweza kuja kuzibeba pia kwangu. Mie hata 1TB hazijafika, kwa sbb ya speed ya kuzishusha. Lakini pia ninazo latest movies kibao. Mie mpenzi sana wa documentaries na action movies (kuokoa mateka, kuvunja magenge ya ujambazi na dawa za kulevya, kuokoa meli na ndege zilizotekwa, survival katika maeneo ya shida and the like).
I will PM you!
 
Ukiwa unapenda za ngono uniambie kwa kuwa mimi nina duka la kuuza hizo za ngono na kama mpenzi basi utakimbia mwenyewe

Hah!hah! hah! Asante sana kwa kuwa mkweli kwa kile ukipendacho.... Mimi ni mpenzi sana wa hizi movie na pia nafanya prodaction zake kwa hapa bongo, mpaka sasa nimechatoa movie 3 nasubiri kuziingiza sokoni punde.... kwa wale wapenzi wa hizi movie mnaweza kunicheck kwa PM Bei yake ni Tsh 20,000 kwa DVD,Tsh 10,000 VCD, 5000 VHS. zina Quality nzuri na washiriki wake wanamvuto wa kusisimu ile mbaya, pia ninazo za Nigeria/Ghana.
 
nina 1tb movies,series,music videos, mimi sana sana ni mpenzi wa series, series ambazo ninazo ni dexter(season1-5),califonicatin (season1-4),chuck(season1-4)nikita season1,weeds season1-6)trueblood (season 1-3)vampire dieries season1-2)preety little liers (season 1)spartacus season 1-2) v(season1-2)the event (season 1)gossip girls (season 1-3)90210 season 1-3)jericho (season 1-2) legend of the seeker(season 1-2) NA NYINGINE KIBAAAAAAAAAOOOO, STAND UP COMEDY ZA CRISS ROCK NA WENGINE,SICOM NI HOW I MET YOUR MOTHER SEASON 1-5,SHIT MY DAD SAYS SEASON 1 if tou wana exchange some mimi sijui ku pm kwa hiyo call me 0766061278
 
Hata series poa tu!tena sana!
 
upo pande za wapi? nina about 220+GB ya movies n 70GB ya music, though ni za nje tuu..bongo watu wachache kama Fid. HipHop chache, Rock, RnB,Pop, Soul, Country kwa sana!!! kila siku lazima nidownload a movie!!!
 
mimi nacheza na documentary kila siku-movie huwa nachek mara moja moja-ila mpaka nisikie kuwa movie flan ipo juu-ndo nitaitafuta
ila documentary kwa kweli lazma kila siku nicheki ni nina zidownload kila siku
 
Hah!hah! hah! Asante sana kwa kuwa mkweli kwa kile ukipendacho.... Mimi ni mpenzi sana wa hizi movie na pia nafanya prodaction zake kwa hapa bongo, mpaka sasa nimechatoa movie 3 nasubiri kuziingiza sokoni punde.... kwa wale wapenzi wa hizi movie mnaweza kunicheck kwa PM Bei yake ni Tsh 20,000 kwa DVD,Tsh 10,000 VCD, 5000 VHS. zina Quality nzuri na washiriki wake wanamvuto wa kusisimu ile mbaya, pia ninazo za Nigeria/Ghana.
Kama zina ubora tutakutafuta ,tafadhali isiwe kama ile ya manzese ambayo ni ya ubora duni sana,waliocheza ni wachafu kupindukia mpaka kuangalia hiyo BM unaona kichefuchefu nafikiri wachezaji na waliopiga hiyo picha wote ni wa uwanja wa hyena
 
Back
Top Bottom