laskaboza
Senior Member
- Jun 8, 2020
- 142
- 1,584
Wadau,
Naomba muongozo wa namna mnavyosafirisha mizigo kwa wateja wenu nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Kenya Zimbabwe na Congo!
Na ningependa kujua kama mnatumia haya mabasi ya falcon au taqwa. Vipi kama mteja anaishi jimbo la mbali na kituo cha hayo mabasi? Mnafanyaje kuhakikisha wanapata mzigo wao walioagiza bila usumbufu usiokua wa lazima?
Una ushauri wowote wa ziada juu ya hili suala, kama namna bora ya kufanya usafirishaji wa bidhaa nje ya nchi? Njia bora za malipo kwa wateja wa Malawi, Congo, Zambia na Zimbabwe?
Thanks in Advance!