Kwa wanaosafirisha mizigo nje ya nchi jirani

laskaboza

Senior Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
142
Reaction score
1,584
Wadau,

Naomba muongozo wa namna mnavyosafirisha mizigo kwa wateja wenu nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Kenya Zimbabwe na Congo!

Na ningependa kujua kama mnatumia haya mabasi ya falcon au taqwa. Vipi kama mteja anaishi jimbo la mbali na kituo cha hayo mabasi? Mnafanyaje kuhakikisha wanapata mzigo wao walioagiza bila usumbufu usiokua wa lazima?

Una ushauri wowote wa ziada juu ya hili suala, kama namna bora ya kufanya usafirishaji wa bidhaa nje ya nchi? Njia bora za malipo kwa wateja wa Malawi, Congo, Zambia na Zimbabwe?

Thanks in Advance!
 
Unaweza kushauriwa njia rahisi na sahihi kulingana na aina ya mzigo pia kulingana na nchi unayopeleka. Kuwa wazi usaidiwe.
 
Mkuu mie naomba kujua jinsi ntakavyopeleka karafuu south Africa je wapi naweza pata malori au usafiri wowote unajua ww wa kufika cape town au Johannesburg. msaada please.
Unaweza kushauriwa njia rahisi na sahihi kulingana na aina ya mzigo pia kulingana na nchi unayopeleka. Kuwa wazi usaidiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…