Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa bhana. Hapo assume ni demu wa kitaa vipi akiimport toka mkoani si atafunga duka kabisa
 
Biashara zote ni nzuri,changamoto zake ni kiasi cha faida na muda wa kupata ile faida;kwa mtazamo wangu,biashara inayolipa zaidi ni ile ya kutumia akili yako na ujuzi,na kutengeneza kitu na kuuza,nikimaanisha 'make and sell' na sio 'buy and sell'.Nikiwa namaanisha maligafi unaipata kwa bei nafuu,na unaiongezea thamani na hatimaye unauza.
 
shida iko hapa
TFDA...100,000
MIZANI...20,000
TAKATAKA...3000
KODI YA CHUMBA...100,000
UMEME...5,000
TRA...150,000
0SHA...???
LESENI...???
MLINZI...????

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa hapa ndio ufanya nione ujinga hizi biashara nyingine tunaweza jiona huna akili na mipango ukajidharau kumbe wapi upo kwenye biashara ya kuchenji pesa hizi tunaita biashara za kuchenji pesa yani mtaji elfu kumi ukiuza unapata ile ile elfu kumi si ufala huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…