Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

kwenye Duka ukiibia ukawa unauza na vilevi kidogo mfano k vant, shimma, konyagi na vibia faida lazima ionekane mfano kwa sasa kreti moja ya bia serengeti ndogO faida ni 6,000 na kwenye Duka unaanza kuuza izo pombe tokea adubuhi kwani wanywaji hukunywa kwa kujificha Kama gongo ama bangi kwa mtaji wa 1m kupata faida ya 15k mpaka 20 kwa siku ni kawaida sana na haitaji uende kwa sangomaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂 Unaweka venue japo amna wateja ninao wachukia kama wa vibia bia, wana kero.
 
Biashara zote zinalipa tena sana. Kinachotakiwa ni kuzalisha Zaidi ya matumizi. Eg. Unatumia 150,000/= kwa mwezi inatakiwa uzalishe Zaidi ya hapo ili upate kiasi cha kusave kwa ajili ya maendeleo mengine.

Hata kama unauza magari kama hausave unafilisika tu. Population, capital, service, policies ni mambo yanayochangia kustawi au kutostawi biashara.

Kuna taratibu za uanzishaji wa biashara inabidi zifuatwe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kodi ya serikali inaingia wapi Kati ya factors ulizotaja
 
Duka la Home nlikuaga kila nkiingia natoka na vocha..Mama nae akitaka vocha anakwambia Nikopesheni vocha, baba nae Nikopesheni. Mwendo huo kilichofwata lile duka saivi ni chumba cha dada wa kazi.
[emoji3] [emoji3] [emoji2] Umenichekesha aisee, milikua mnajikopesha familia nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chalii kwa huu utaratibu wako hata mshahara wa milioni 2 utakuwa haukutani hahahahah!! Mi nadhani cha msingi hesabu zifanyike kwa mwezi tu. Uuze duka na ujitahidi kuishi kulingana na faida yako ya mwisho wa mwezi na hapo ni busara mtu ukaliendesha duka angalau miezi 6 ya mwanzo bila kutegemea faida yake. watu wanaishi, somesha na kujenga kwa duka
 
Ni ukweli usiopingika mkuu, umenena vyema sana
 
Hii wanaweza wasambaa na wapemba siku izi maana hata hao wachaga wengi naona zinawashinda
 
We mchaga gani sio bahili?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
mkuu hizi bidhaa unaziuza kwa muda gani? soda crate 1 unauza wiki 2, muda huo umeshatumia zaidi ya 20k faida iko wap
Kwan unauza soda tu , kuna bidhaa Zaid ya 100 so kila bidhaa ikikupa ~250 una 25000 kwa siku cha msingi ni kujitaid kuweka bidhaa nyingi zaid ili mteja akija aruki
 
Hapo unauza kwa kreti au soda moja moja piaa?ukiuza moja moja faida sh ngapi na kreti unapataje na chupa zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…