Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

Mimi masuala ya kuuza mafuta kupikia kwa wiki 2 sijui sukari 3wks nije nipate kifaida cha 7500 yalinishinda...yaan hata iweje siwez rudi huko...si bora nikakusanye mikaranga tabora huko!
 
Mimi masuala ya kuuza mafuta kupikia kwa wiki 2 sijui sukari 3wks nije nipate kifaida cha 7500 yalinishinda...yaan hata iweje siwez rudi huko...si bora nikakusanye mikaranga tabora huko!
Hii biashara itategemea wapi umefungua na uwingi wa wateja. Kuna watu wanafanya na inawalipa sana na pia inategemea umeweka shilingi ngapi? Kuna watu wana mauzo ya siku mpaka milioni 2 hakosi laki faida

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yes..mie nna experienc na haya ya mitaani..sasa huko kwemye mzunguko wa watu nako kodi ni lazima iwe nene pia...!
Kodi siyo shida kama unamzunguko. Maana ukiwa unapata kodi siyo yakuogopa. Wakina Mo wanalipa mabilioni kodi na wanapata zaidi. Ukichanganya na miamala ya pesa. Faida za miamala zitalipa kodi zote

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wadau ili kupata mrejesho mzuri ni bora kununua vitu kwa wingi mfano katoni au kidogo kidogo?
Kununua kwa carton kunakupa wewe faida kubwa zaidi ila bidhaa nyingine kama hazitoki sana ukinunua carton utaishia kupata hasara maana zitaexpire.
 
Kununua kwa carton kunakupa wewe faida kubwa zaidi ila bidhaa nyingine kama hazitoki sana ukinunua carton utaishia kupata hasara maana zitaexpire.
kabisa bora hizo ufanye hasa kwa vinywaji na sabuni sabuni ila mfano mambo kama blue bands maziwa ni shidaa
 
Wadau ili kupata mrejesho mzuri ni bora kununua vitu kwa wingi mfano katoni au kidogo kidogo?
Hiyo inaenda kulingana na mtaji na mzunguko wako...!!kama mtaji wako na mzunguko ni mdogo...nunua nusu nusu...angalau ujaze duka...mahitaji yakiongezeka utapanda kidg kdg
 
Biashara naona inafaida ikiwa eneo ni lako na umekaa mwenyewe..lakin kama umepanga na kumueka mtu cost ni nyingi ...
Kodi ya pango
Ela ya taka 10000 town
Umeme hapa kuna fridge zingine noma
Ela ya kula
Afu pia kuna hasara kama
Panya kula bizaa.
Bizaa kuaribika
 
Shirima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
great stuff

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…