Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

safi sana.
 
BradFord93 mkuu uzi wako ndio ulionifunza mengi mpaka nikafungua duka langu mwaka 2022 ase leo hii nawaza kufungua duka lingine sehemu nyingine iliochangamka
 
La maana uwe na wateja wengi ili bidhaa ziende haraka. Ukisimamia mwenyewe na uwe na nidhamu ya pesa utatoboa. Sawa faida ni kidogo ila kumbuka "haba na haba hujaza kibaba ".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…