Kwa wanaosoma BED zaidi

baracky

Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
63
Reaction score
17
Eti wadau nidaidieni ni kweli kwamba ukisoma bed serikali wanachelewa kuwapangia ajira tofauti na wanaosoma BSC nisaidieni
 
Hilo lilitokea mwaka jana kwetu coz tulikuwa na somo 1 la kufundishi mf. Chem/engl but now vyuo vyote masomo ni mawili hvyo uctishwe tena
 
siku hizi kuna major na minor so usijali ajira utapata tena kwa wakati
 
Wakimbilia mkopo, jadilianeni bwana ila Mulugo kasema wanahitaji waalimu wa science 2. Nyie wa H kunan imekula kwenuuuuu.
 
Wakimbilia mkopo, jadilianeni bwana ila Mulugo kasema wanahitaji waalimu wa science 2. Nyie wa H kunan imekula kwenuuuuu.

kwa hyo na sie 2lioajiriwa 2taeukuzwa au?? maana naona akili zako ni kama za mulugo wewe!
 
Du! na nyie wasomi vivywa vyenu vyananena hayo? siamini macho yangu.
 
kwahiyo aliyeanzisha fb n kilaza? Pu.mbu wewe

Tumia lugha nzuri kijana. Humu kuna watu na heshima zao. Isitoshe wewe ni kijana unayetakiwa kuwaongoza wadogo zako katika kujenga maadili.

Nimeona comment zako nyingi ziko kishari shari. Jitahidi kubadilika mkuu JF tumeikuta ikiwa na watu wastaarabu ndio nasi tukavutika kujiunga.
 
Window7 you're almost right...

Kila ninapomkuta huyu dogo, lazma awe ameacha nyayo zenye kunuka matusi na kauli zisizo na nidhamu....

Cha kushangaza anaporomosha matusi kwa kila mtu bila kujali status za watu. Yaani hana hata punje ya nidhamu, anakera sana huyu mtoto....
:::::boredom::::::
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…