Kwa wanaosoma KIU, PhD zasimamishwa Uganda

Kwa wanaosoma KIU, PhD zasimamishwa Uganda

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
1,071
Reaction score
348
Wapendwa, nimeisoma hii naona nishare na wenzangu ambao bado wanasoma Chuo hiki. Yaani kwa PhD to have 42 graduates kwa wakati mmoja hata mimi nashangaa. Kumbuka kwamba chuo hiki hata hapa kwetu kipo pale Dar es Salaam maeneo ya G'mboto. Wenye kikifahamu hiki chuo kwa undani tafadhali share with us.

By John Semakula and John Masaba

The National Council for Higher Education (NCHE) has directed Kampala International University (KIU) to halt the awarding of 42 PhDs until they are verified.

The PhD students were to graduate on Saturday during the university’s ninth graduation ceremony.

But on Friday morning, the executive director of NCHE, Prof. A.B.K Kasozi, wrote to the office of the university’s vice-chancellor stopping the graduation of the 42 students.

In a letter which New Vision saw, NCHE was challenging the university’s ability to pass out such a big number of graduates with PhDs.

“NCHE has received news that you are going to graduate 42 PhD students. Last year, you graduated over 20 PhD students. NCHE is concerned about your capacity to graduate such a number in a span of two years,” the letter read.

Kasozi set out conditions for KIU to beat before the 42 PhD students can be allowed to graduate.

The conditions included submission of the external examiners’ reports on each of the students, the period each student had taken to complete the programme and the list of external and internal examiners. NCHE also stated that at one point, the university may require verifying all the dissertations of the 42 PhD students.

When contacted for a comment, the university’s public relations officer, Chris Mubiru, said they had not yet received the letter and that there was no way they would stop the students from graduating at the last hour.

42 PhD students stopped from graduating at KIU
 
Hahahha PhD hizi jamani but at least hao wameingia class kuliko hizi za kukaa jukwaani na kuvishwa Joho na kuitwa Dt...simsemi mtu hapa jamani hahahahahhaahaaaaaaaaaaa
 
Kwa kweli kwa tanzania mfuma wa elimu hauko vizuri tangu tulipofanya elimu kuwa ni biashara tumeharibu kila kitu ikumbukwe miaka ya nyuma tulikuwa na shule za umma na vyuo vya umma lakini tulipoanza kuruhusu shuke binafsi kwa kuwa wabongo si wazalendo na si wa aminifu wakauwa shule za umma kwa maksudi ili shule zao ziwe soko ndio maana leo unampleka mtoto nasari unaambiwa ada 1,000,000 na ni biashara watu wanafanya na wanatengeza faida kubwa sana kwa upande wa vyuo tulikuwa na vyuo vya umma na hakukuwa na matatizo watu waliochanguliwa kuingia katika vyuo hivi walisoma bure na ubora wa elimu ulikuwa wa kiwango cha juu baadae tukaruhusu vyuo binafsi haikuwa jambo baya lakini tatizo linalojitokeza ni kuwa kwa kuwa imekuwa ni biashara swala la ubora halipo mamlaka zinazosimamia elimu kwa ujumla nazo zimelala kwa kuwa ni biashara sasa hili nitatizo kubwa sana kwa nchi yetu juzi tulisikia chuo fulani cha kanisa kiliwatapeli wazazi kwa kudahili wanafunzi wasio na sifa. kwa kweli hili bomu kwa taifa letu na huko tunakoelekea tutakuwa na wasomi vyeti lakini wasio weza kufanya lolote na hii ni mbaya sana kwa kuwa hakutakuwa na tofauti kati ya aliye soma na asiye soma wote ni mbumbumbu sasa taifa tunalipeleka wapi? Naomba tume ya vyuo vikuu ikague upya vyuo ambavyo imevipa usajili kama vinakizi sifa za kuitwa vyuo vikuu
 
Ni kweli kabisa halafu hivi vyuo vinalalamikiwa ssana kwa kushindwa ku deliver, then ada zao kuuubwaaa, na wanalipa kwa dola! Sasa tunakoelekea, tutapata watu wana PhD za kuwatosha kuandika majina yao tu! Akiwa daktari ndo loooh! Unaumwa kisukari anakuwekea drip ya glucose ili ufe haraka!
 
Haya ndiyo matatizo ya kukosa sera ya elimu nchini kwetu,sasa elimu imegeuzwa biashara na pengine wanataka kuua kabisa ubora wa elimu yetu ili tusiweze kukaribiana nao siku za usoni.
 
Haya ndiyo matatizo ya kukosa sera ya elimu nchini kwetu,sasa elimu imegeuzwa biashara na pengine wanataka kuua kabisa ubora wa elimu yetu ili tusiweze kukaribiana nao siku za usoni.

Halafu hapa mi ni nchi ya kwanza kuona kwamba hata elimu ya shule ya msingi kati ya international schools na shule za serikali mitala inatofautiana!
 
Wapendwa, nimeisoma hii naona nishare na wenzangu ambao bado wanasoma Chuo hiki. Yaani kwa PhD to have 42 graduates kwa wakati mmoja hata mimi nashangaa. Kumbuka kwamba chuo hiki hata hapa kwetu kipo pale Dar es Salaam maeneo ya G'mboto. Wenye kikifahamu hiki chuo kwa undani tafadhali share with us.

By John Semakula and John Masaba

The National Council for Higher Education (NCHE) has directed Kampala International University (KIU) to halt the awarding of 42 PhDs until they are verified.

The PhD students were to graduate on Saturday during the university's ninth graduation ceremony.

But on Friday morning, the executive director of NCHE, Prof. A.B.K Kasozi, wrote to the office of the university's vice-chancellor stopping the graduation of the 42 students.

In a letter which New Vision saw, NCHE was challenging the university's ability to pass out such a big number of graduates with PhDs.

"NCHE has received news that you are going to graduate 42 PhD students. Last year, you graduated over 20 PhD students. NCHE is concerned about your capacity to graduate such a number in a span of two years," the letter read.

Kasozi set out conditions for KIU to beat before the 42 PhD students can be allowed to graduate.

The conditions included submission of the external examiners' reports on each of the students, the period each student had taken to complete the programme and the list of external and internal examiners. NCHE also stated that at one point, the university may require verifying all the dissertations of the 42 PhD students.

When contacted for a comment, the university's public relations officer, Chris Mubiru, said they had not yet received the letter and that there was no way they would stop the students from graduating at the last hour.

42 PhD students stopped from graduating at KIU

Kwa watu wajanja tayali wameshajua kwamba hizi PhD ni zile za mayayi feki! Angalieni sana hivi vyuo vya nje!
 
Kwa watu wajanja tayali wameshajua kwamba hizi PhD ni zile za mayayi feki! Angalieni sana hivi vyuo vya nje!

Hapa, wakulaumiwa ni wazazi ambao wanawapeleka watoto wao kusoma huko. Ina maana hapa JF hakuna aliesoma pale G'mboto ktk Chuo cha Kampala Int Uni? Au mnajificha?
 
Tunawafahamu hata waliofel wanasubiri kukunua cheti mambumbu wote wako kiu huko
 
Waganda first year, second years undergraduate ndio malecture pale gongo la mboto! Mwanafunzi wa kiganda akipitwa na mbongo/nchi nyingine wanakalishwa kikao na administraion!!!!!!!!!!!!!hiki chuo ni hatari kwa mustakabadhi wa taifa letu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naona wana JF wote ni cream maana hakuna anaesoma wala aliyesoma KIU!
 
me napata tabu sana kuona vyuo vya namna hii vikishamiri hapa tz, sijui hawa tcu wanafanya nini, kila kukicha vyuo vya ajabu ajabu vinaibuka, mbaya zaidi wanakimbilia kufundisha education ili waiue kabisa elimu yetu
 
Hichi chuo, tawi la Tanzania lilikuwa ma mgogoro na TCU, habari ni kwamba kilikuwa hakijasajiliwa hata kwenye mwongozo kiliwekwa kimagumashi, ndio maana HESLB hawakutoa mkopo kwa wanafunzi. Baada ya wakubwa kufanya rafu kikapata usajili, ila sasa limezuka zengwe jipya. Kwa bahati mbaya sijui hata mtu mmoja anayesoma KIU.
 
Halafu hapa mi ni nchi ya kwanza kuona kwamba hata elimu ya shule ya msingi kati ya international schools na shule za serikali mitala inatofautiana!

what do you mean by int schools?
 
Back
Top Bottom