Usije ukashangaa unaishia njiani hata hela yenyewe usiifaidi...Haya kazi kwenu... Vyuma vimekaza chance ndo kama hizoo wenye vigezo mjilipue
Mimi nimetumiwa tu binafsi nimeridhika na kakibarua kangu vya world Bank sio level yangu nikaona sio mbaya yaweza kuwa useful kwa members wenye uhitaji
Mods mtapeleka wenyewe huu uzi jukwaa husika
Nawasilisha
Mahondaw wa Smart911
hahaaaa indeed kabisaaaNgoja tusafishe nchi yetu kwanza 26 April kisha tutarudi
World Bank hainogi ccm ikiwepo