Kwa wanaotafuta kazi

stop asking stupid questions, SHUT UP if you dont have better things to do with your time.

Mama mbona mkali sana jamani! Hata kama ndio unataka kusaidia watu ndio hivi mpendwa? Pole pole mama tutakuelewa tu.........
 
Thanks Ester M, JF ina kila aina ya watu (u wora I mean), wenye akili na wenye akili zisizo na akili.(Those who think they know while they know not. Wameathirika na siasa kila kitu wana run kwenye conclusion ya UFISADI. I rly wish nami ningetoka kwenye kifungo cha kudhulumu GPA yangu kali kwa kampuni ya mwanaume mwenzangu.
 
stop asking stupid questions, SHUT UP if you dont have better things to do with your time.

mh!hii sijaipenda tuelekezane taratibu sote tuelewe tuwe kitu kimoja na ili kulipendezesha na kulidumisha jamvi letu
 
aaah i thnk utatusaidia sana watu kama sisi ambao tumekwisha kata tamaa manake mtu unakuanalipost zima alafu bado unaimaliza soli yako kitaaa inasikitishaaaa sana,imefika maali hata thamani ya elimu yenyewe unakua uioni .:redfaces:teteetet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…