Kwa wanaotafuta wachumba

Unatembea haraka [emoji2][emoji2][emoji2]
Na nimewahi kuona kabisa jamaa anaulizwa hiyo haraka unaenda wapi!?manzi akaendelea kutembea taratibu jamaa akatembea haraka zake akafika na kusimama kwenye muuza mahindi ya kuchoma manzi ikapita
Nikajua hili penzi halina hela na litake litakufa lisitake litakufa
 
Maisha haya dah🀣🀣🀣,, pole sana lakini
 
Huwa unachaji fee kiasi gani kwa hao clients wako unaowakuwadia???

Wanalipa kwa installments au full payment for your service.?
 

Mkuu,naunga mkono hoja

Hasa namba 3,kwenye ndoa habadlik mtu…ila ile tabia iliyoiona kwa udogo kwenye uchumba kwenye ndoa inakukuzwa (amplified) yaan kama alkua mnywaji huko atakua mlevi kama alkua malaya huko atakua fuska…..tusizpuuzie red flag
 
Hapa ndipo penyewe sasa
 
Kama ni dar mwanaume tafuta hela mengine yote mwanamke ataishi nayo bila shida TAFUTA HELA na kama huna unaweza kataliwa sababu unatembea haraka au huna ndevu au unavaa Shati panapana yani basi ilimradi ukataliwe
nakazia
ukiwa na hela wanajipitisha wenyewe na ukitaka kuenjoy kula mara moja sepa tafuta mpya hakuna kugandana!

kipindi anawaza akwambie gesi imeisha wewe na namba umeshafuta!
 
nakazia
ukiwa na hela wanajipitisha wenyewe na ukitaka kuenjoy kula mara moja sepa tafuta mpya hakuna kugandana!

kipindi anawaza akwambie gesi imeisha wewe na namba umeshafuta!
Siyo vizuri kumkimbia mtu,kuna wastaarabu tu
 
4. Msiogope kuchagua mchumba asiye wa dini yako au kabila yako, huyo ndio atakayekuwa mwandani wako
Dini wafanane walau mmoja amfuate mwenzie, lakini kabila tofauti hakuna shida. Wazazi wakitofautiana dini, wanatengeneza confusions kwa watoto. Kama baba ni mtu wa kupotezea, anaweza akawaacha watoto wote waende dini ya mama kisha yeye akabaki kivyake. Ila hapo inahitaji baba sophisticated and westernized na sio wale wahafidhina wa dini.
 
kweli tupu
 
Mtu atakayepingaja na mleta mada akamuumbe mwenyewe mke anayemtaka lkn hawa waliozaliwa na mwanamke hawana vigezo vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…