MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
Hahahahaaaaa......huyu jamaa kweli hamnazo. Nimekimbia chapchap kwenda kugoogle nikidhani kuna jambo la maana. lo! nikakutana na maandishi ya kichina tupu! Nadhani huo ulikuwa mchanganyiko wa viroba, safari na wanzuki ndio uliomfikisha hapo. acha tusamehe bure.Hujajipanga, uzi wako na ulichoandika ni tofauti.
Haswaaaa!Hahahahaaaaa......huyu jamaa kweli hamnazo. Nimekimbia chapchap kwenda kugoogle nikidhani kuna jambo la maana. lo! nikakutana na maandishi ya kichina tupu! Nadhani huo ulikuwa mchanganyiko wa viroba, safari na wanzuki ndio uliomfikisha hapo. acha tusamehe bure.