jogijo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 260
- 495
Habari wakuu, kuna kipindi nilipost Uzi kwa wanaotaka kufanya biashara ya mafuta ya alizeti. Kuna watu wengi walinitafuta kuniulizia lakini kwa bahati mbaya hawakwenda na msimu ulivotaka.
Mrejesho wake, Kama unataka biashara ya mafuta mda na msimu wake n Sasa! Dumu Lita 20 yaani (Yan 18.5 kg) Ni tsh 80000 kwa singida mjini na 70000 kwa singida vijijini.
Unachopaswa kufanya, chukua mafuta nunua dumu lako 2500/3000 nenda viwanda vya ndani huko chukua mafuta ya kutosha tafuta usafiri 1000/dumu 1 Hadi mjini then endelea kuenjoy.
Bei ya kuuzia na faida wenyewe mnajua huko kwenu mafuta yanatoka kwa sh ngapi?
Usafiri kutoka mjini, technique zifuatazo zitumike.
1. Kama una leseni ya biashara kazi imekua rahisi kwako.
2. Fanya kusafirisha mzigo kidogo kidogo yaan dum tatu-tano kwa 3000-5000/dum. Hadi mzigo unaoutaka kukamilika.
Nawatakia kila la kheri.