Ros tomas
Member
- Dec 11, 2017
- 48
- 36
Usiulize MTU kuhusu biashara gani nifanye, uliza kuhusu nifanyaje biashara. Kila biashara inalipa ila unaitaji umakini kwenye kipengele cha demographic kuhusiana na biashara yako namna ya uendeshaji utengeneze wewe kutokana na mazingira ambayo unataka biashara yako iwe, kutokana na mfuko wako unavyokuruhusu. Usijejaribu kukopa unapoanza biashara unaweza iua kiss wasiwasi wa kushuka na kupanda kwa mauzo ni bora utafute mbia mfano wewe unauza chips mtafute muuza juice mshee cost ya pango ila sio kushea biashara moja mkitofautiana tu mwanzo wa biashara kuyumba.
Mengine watajazia
Kubwa lao litaongezea, mchakataji mwenye uzoefu wake Zero IQ
Mengine watajazia
Kubwa lao litaongezea, mchakataji mwenye uzoefu wake Zero IQ