M my life Member Joined Sep 20, 2012 Posts 30 Reaction score 10 Oct 7, 2012 #1 Alhamisi iliyopita nilienda helsb wakaniambia zoezi la kuapeal litaanza ndani ya wiki mbili zijazo na kwasasa wanatengeneza mambo vizur ndo maana ha2wez kuapeal.
Alhamisi iliyopita nilienda helsb wakaniambia zoezi la kuapeal litaanza ndani ya wiki mbili zijazo na kwasasa wanatengeneza mambo vizur ndo maana ha2wez kuapeal.