Kwa guniaHuku bei ina range 42000 hadi 50000
Tunazungumzia alizeti siyo mafutakwaio litre 10 23000?
Je uko na uzoefu na hii bznes? Na inahitaji mtaji kama bei gani?Habari wakuu! Niliwahi kuandika hapa kuhusu biashara ya alizeti na mafuta yake!
Kwa mwaka huu kama unataka kufanya biashara fanya hii na itakulipa! Mafuta yameshuka Sana bei Hadi kufikia 48000 Kwa dumu la litre 20. So hapa uhakika wa kupata double profits Kwa mwaka huu upo.
Mm mwaka huu sina pesa tu ningenunua but mtaji nilikula so Kwa anaetaka aweke mchongo apate Hela!
NB: Sifanyi kazi ya udalali ingia mzigoni mwenyewe
Ufafanue watu waelewe hilo gunia ni la debe ngapi mama kuna 10 na debe 7 au 6Gunia saiv ni kati ya 30000 Hadi 35 dum ndio 43000 to 50
Litre 20 48,000.acha masihara jamaaHabari wakuu! Niliwahi kuandika hapa kuhusu biashara ya alizeti na mafuta yake!