Ya kuuza je My Sweetheart Husninyo??habari?
nakodisha shamba kuanzia ekari 5 mpaka 15 kwa wanaotaka kujaribu small scale farming. shamba lipo tanga, umbali wa dakika ishirini kwa gari kutokea barabara kuu.bei tsh 20,000 kwa ekari moja.
kwa anaehitaji tuwasiliane.
unataka ukubwa gani bosi?