Akilidebe
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 204
- 124
Wasichana wengi wana Ndoto za kuolewa lakini ndoto hizo zinaelekea kuyayuka. Wanaishia kuchezewa na kuachwa.
Ndoa sio kitu cha mchezo au cha majaribio. Yaani Ili uolewe unahitaji kuwa na vigezo vitavyomshawishi mwanaume akuoe.
Ndoa ni heshima kwenye jamii
Ukifika wakati wa kuoa Mwanaume huwa haangalii
-ukubwa wa makalio
-usomi wako
-shape yako
-rangi yako
-sura yako
-kipato chako
-cheo chako
Mwanaume atavutiwa na
-tabia yako
-mahusiano yako na majirani/wanachuo wenzako/ rafiki zako
-kumcha Mungu
-usafi wako wa mwili na mahali unapolala/ unapoishi
-uwezo wako wa kupika
Kama umefikisha miaka 28 na huoni dalili za Ndoa anza kubadilika.
NB: ukimruhusu mwanaume ale papuchi yako Kabla ya ndoa basi sahau kabisa kuhusu Ndoa.