Kwa Wanaotaka kuolewa

Akilidebe

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
204
Reaction score
124
Wasichana wengi wana Ndoto za kuolewa lakini ndoto hizo zinaelekea kuyayuka. Wanaishia kuchezewa na kuachwa.

Ndoa sio kitu cha mchezo au cha majaribio. Yaani Ili uolewe unahitaji kuwa na vigezo vitavyomshawishi mwanaume akuoe.

Ndoa ni heshima kwenye jamii

Ukifika wakati wa kuoa Mwanaume huwa haangalii
-ukubwa wa makalio
-usomi wako
-shape yako
-rangi yako
-sura yako
-kipato chako
-cheo chako

Mwanaume atavutiwa na
-tabia yako
-mahusiano yako na majirani/wanachuo wenzako/ rafiki zako
-kumcha Mungu
-usafi wako wa mwili na mahali unapolala/ unapoishi
-uwezo wako wa kupika

Kama umefikisha miaka 28 na huoni dalili za Ndoa anza kubadilika.

NB: ukimruhusu mwanaume ale papuchi yako Kabla ya ndoa basi sahau kabisa kuhusu Ndoa.
 
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Usipotoshe umma

Unadhani kila mwanamke ambaye ameolewa hakuwahi kutiwa na huyo aliyemuoa?
 
Siwezi owa bila kuonja ladha ya papuchi aisee

Yaan ninunue kitumbua kwenye gunia
 
Hivi siku hizi kuna Mwanamke wa kuoa Kweli? au Kila siku wanaolewa? Au nikubadilisha Mikao tu?
 
Hahahahah, kwa akili zako huo muda anasubiri atakuwa anakula kwa jirani??
 
MKUU UMENENA VIZURI SANA.ILA NAOMBA KUONGEZEA NENO KTK KUBADILIKA SIO IWE KUIGIZA ILI UOLEWE TU.BADILIKA JUMLA ILI UKIINGIA NDOANI USIRUDIE ABIA ZAKO ZA MWANZO IKAWA NDOA NDOANO .ASANTE MKUU NAWASALISHA
 
Wasichana msipokua makini mtaonjwa sana. "mtu akienda sokoni kununua embe dodo, Ata bonyeza kumi na kununua moja"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…