Kwa wanaotaka kutangaza Facebook au LinkedIn

kwelakenya

Member
Joined
Jan 21, 2010
Posts
59
Reaction score
6
Kampuni yetu inahusika na kufanya matangazo online. Kwa sasa LinkedIn inalipa sana because most professionals like managers, directors, MDs and CEOs ambao ndio wenye hela ya kununua bidhaa wapo huko, tofauti na Facebook ambayo imejaa wanafunzi na vijana ambao wana kipato kidogo au hawana kabisa. Kama unahitaji kufanya tangazo wasiliana nasi kupitia tinogobba2002@yahoo.com au sms au piga 0788 893364. Tuna-charge only 30% ya gharama za tangazo lenyewe. Minimum ni kuanzia $100.

Nime-attach screenshot ya jinsi unavyoweza kuchagua ni nani, alieko nchi gani, alie kampuni gani, sekta gani, au position gani alione tangazo lako
 

Attachments

  • About LinkedIn Ads.png
    9.7 KB · Views: 77
Hembu watanzania tujaribu kuwa na ushindani kama wakenya.

Wewe tangazo muhim kama hili unafanya kienyeji namna hii,na unafikiria kweli utapata watu?watanzania wa siku hizi si wa enzi za mwalim.

Nyie ni watu wa IT na mnakampuni kama ulivyosema,sasa inakuwaje kwamba hamna hata website ya kwenu na email yenyewe imekaa kihuni.

Jipangeni kwanza then uje na jipya natumai utapata wateja,,ungekuwa official hata mie ungenipata kwenye linkedin,lakini kwa style hii hapana.
Subiri wengine watakuja.
 
Wakuu Ishu Ya Nsingi Sema Mnatanguliza Ukenya Na Utanganyika, Hivi Ni Lini Tutajiona Kuwa Tu Wamoja. Mkubwa Pande Hzo Binafsi Kunabiashara Nikianza Ntakucheck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…