kwa wanaotaka mkopo (heslb) 100% 13/14 tu???

Mweh!! Basi ngoja nirudi nisije sema baya
 
nenda tcu wakupe majina ya waliopata vyuo halaf ufanye mchakato
 
nimepigwa ban la mwezi leo kwa wajinga kama nyinyi so siogop ban nyengine
 
kwenda zakou cant be serious, mwenyewe mwombaji! mbaya zaidi una watu wako ambao unaweza kuwapa priority halafu unataka kutujaza mastress.
 
nina majina kama 200 yote ni ya marafiki zangu nita ku pm nw unifanyie mpango....hahahaha
 
Kuna nyimbo ya mdada mmoja hivi wanaimba "umevurugwaaaa ume umevurugwaaaaaaaa umevurugwa we choko umevurugwaaaa........tapeli old skool ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…