*Jihadharini na wachapaji wa kadi za harusi.* *Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!*
*Mchapaji aliombwa aweke 1Yohana 4:18 ktk kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18.*
*1 Yohana 4:18* panasema, "Katika pendo hakuna hofu, lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu..."
Lakini *Yohana 4:18* tunasoma, "Kwa maana umekuwa na waume watano , naye uliye naye sasa siye mume wako."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]