kununua bidhaa online mkuu na huwa natumia site ambazo zimeruhusu paypal kama ebay, banggood gearbest n.k. Tatizo ni kulink Mpesa mastercard na Paypal ndo inagoma kuwa kwa sasa inapatikana kwa mpesa ya kenya tu ndo unaweza kulink na paypalUlikuwa unataka kuitumia kwa namna gani?
Mfano mimi hata kulipia dstv tu huwa nalipia kwa paypal hela ikiwa Mpesa, kununua bidhaa online napo huwa inakubali kwa sites ambazo zimeruhusu matumizi ya paypal maana sio zote huwa zinakubali.
naomba msada wako niweze kufungua mkuu.mimini mtuamiaji wa PayPal, unaweza weza kufanya transaction yeyote ile na mtuamiaji wa PayPal, Unaweza kuitumia kama wallet lakini wakati mwingine PayPal Malipo yake huwa yanachelewa kuonekana kwenye account yako .Pay pal huwa ni Malipo ya bank to Bank sikuI Kama ina connection na mobile money
Huhitaji kuwa na akaunti ya paypal kulipia malipo ya hicho chombo mzee, tembekea bank ukiwa na bank details za muuzaji wako, utafanya kitu inaitwa TT (Telegraphic Transfer) ila angalia wauzaji wengine ni bomuIngia google, search paypal, kwenye page yao utaona option ya ku-sign up
kununua bidhaa online mkuu na huwa natumia site ambazo zimeruhusu paypal kama ebay, banggood gearbest n.k. Tatizo ni kulink Mpesa mastercard na Paypal ndo inagoma kuwa kwa sasa inapatikana kwa mpesa ya kenya tu ndo unaweza kulink na paypal
Ni njia nzuri. Ila moja watu tunakwepa mlolongo wa bank. Pia usalama wa bank a/c, binafsi siwezi ku-link account yangu na sites ya kibiashara za nje ya nchi, maana siku hizi utaalamu mwingi na wizi mwingi. Ndio maana tunapitia njia za kawaida ambazo so rahisi sana mtu kufikia a/c yako. Hiyo ni mtazamo wangu lakini.Huhitaji kuwa na akaunti ya paypal kulipia malipo ya hicho chombo mzee, tembekea bank ukiwa na bank details za muuzaji wako, utafanya kitu inaitwa TT (Telegraphic Transfer) ila angalia wauzaji wengine ni bomu
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ww nime kuelewa n nadhani sio mbaya pia couse naeza kua naifanyia manunuzi ya vitu binafsi mtandaoni n tayari nime sinup ila nachemka hapa kwemye ku link card nifanyeje ili iweze kumaliza.Kwa TZ unaweza kutumia paypal kuprocess malipo(outbound). Yes unaweza kupokea pesa kwny paypal account yako but hautaweza kuicheck in kwenda kwenye bank yako(inbound).Itabaki tu kwny paypal account na unaweza itumia kununua vitu vingne.
Nadhani banking regulations(BoT) hazijaruhusu inward transanctions from Paypal to local banks, hii kitu i wish banks na BOT wangetuskia waisolve.
Alternative, kama una mshkaji India, South Africa, Nigeria au hata Ulaya, ukilipwa through paypal then itume kwa paypal ya mshkaji wako ataicheck-in kwenye bank yake huko then akufanyie SWIFT to your bank in TZ or WorldRemit to MPESA
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nitaipataje taptalk au mtalk, kule apps store hazipo.yap, niko na windows phone na android one
sio kodi tu mkuu na wanatutua umasikini wananchi wao mana mtandaoni kuna fursa kibao zakuingiza hata dolla 200 kw wiki.Tafuta laini ya Safaricom ya Kenya unafanya transaction bila usumbufu Paypal to Mpesa niliiona kuna jamaa yuko Rombo alikuwa anatoa pesa yake bila usumbufu. Tanzania tunachelewa sana kukumbatia technologia mpya mpaka mamlaka waruhusu itachukua muda wanalikosesha taifa kodi kwenye hii ishu wangepiga pesa nzuri tuu.
k ila laini ya safarocom huku si inasoma km kawaidaTafuta laini ya Safaricom ya Kenya unafanya transaction bila usumbufu Paypal to Mpesa niliiona kuna jamaa yuko Rombo alikuwa anatoa pesa yake bila usumbufu. Tanzania tunachelewa sana kukumbatia technologia mpya mpaka mamlaka waruhusu itachukua muda wanalikosesha taifa kodi kwenye hii ishu wangepiga pesa nzuri tuu.
Sina uhakika sana ila itakuwa inasoma sababu ya ushirikiano wa Voda na Safaricom, kule Rombo sababu ya ukaribu wa mpakani ilikuwa inasoma poa kabisa.o
k ila laini ya safarocom huku si inasoma km kawaida
Mkuu hata mimi tangu nifanye updating, niliifuta, kuja kuitafita store sikuikuta tena, nimeishajaribu kudownload moja kwa moja kupitoa browser napo inalileta kwenye store na kuandika 'unavailable'. Kifupi nishaachana nayo, kwa ishu za social nets kama jf huwa natumia simu ya android tumkuu nitaipataje taptalk au mtalk, kule apps store hazipo.
natumia NOKIA lumia 735 OS ni w10