TTCL wana bundle yao mpya ya 256Kbps up/down unlimited broadband services, wanachaji shs 54,000/= kwa mwezi (VAT inclusive).
Kwa ambao wameshaitumia, what is the experience so far? Speed ikoje, kuna tofauti katika performance peak na off-peak times? is connection stable?
Ya cable mzuka kweli. Naitumia. If anything i would stand witness kusema kwamba iko fast kuliko internet connection yoyote hapa TZ. Inayoisigelea ni ya Selcom.
Bandwith ya TTCL ni kubwa kwaiyo hata downloadin iko fast. bahati mbaya wanaiua TTCL watawala wetu