Kwa wanasaut mwanza 2013---

Kwa wanasaut mwanza 2013---

Toxty

Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Kutokana na uhaba wa hostel za chuo kuwa chache wewe uliechaguliwa saut na wewe unaendelea na mwaka mwingine wa masomo kuna hostel za watu binafsi ila kutokana na almanac yetu na reporting day kwa first year nawengine,wajanja waisha anza kutafuta ni wapi wataishi kwa mwaka mpya wamasomo.So yeyote yule atakaye hitaji room kwenye hostel za watu binafsi pale Nganza next to saut malimbe campus mtafute huyu jamaa 0719956323 atakusaidia kupata room za hostel kwa watu binasfi koz yeye pia ni mmiliki wa hostel nyingi yu maeneo ya Nganza na gharama yake ilko poa tuB]
 
Back
Top Bottom