Kwa wanasheria na wajuzi wa mambo naomba kujuzwa

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Salamu wana jamii, kuna jambo linanitaza naomba kueleweshwa. Hivi karibuni nimewasikia wabunge wa upinzani wakimlalamikia Rais JPM na serikali yake kuwa kitendo chake cha kutumbua majipu hadharani ni kinyume cha sheria pia watendaji wake ikiwemo mawaziri,wakuu wa mikoa na wilaya kuwa wanatumbua majipu ovyo. sasa naomba kueleweshwa je madai haya yana usahihi gana na sheria inasemaje kuhusu hili na kama ni kweli basi sheria hii inaumuhimu gani kwetu kama unawakinga mafisadi na wezembe na hawa wabunge walichokuwa wakikilalamikia wakati wa JK ni kipi hadi sasa wanadai haya au ndo tuseme sasa wanatetea mafisadi?
naombeni msaada wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…