Kwa wanasheria tuu: Advocate Mwabukusi dhidi ya Jamuhuri mbele ya Justice Mwakusanya(as then he was) hali ingekuwaje?

Kwa wanasheria tuu: Advocate Mwabukusi dhidi ya Jamuhuri mbele ya Justice Mwakusanya(as then he was) hali ingekuwaje?

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
Karibuni kwa mjadala

mwalusanya.jpg
 
[emoji1787][emoji1787] Mwalusanya J( as he then was) kesi ingekuwa ishatabirika mwisho wake. Serikali ilikuwa inapigwa chini mapema sana, na yawezekana wangeweka pingamizi la kutokuwa na imani na Mheshimiwa Jaji
 
Duh...!. kutegemea a single source of online dataz, ni kazi kweli kweli!, kunawaingiza sana watu chaka!. Thread ni ya Jaji Mwalusanya, lakini hiyo picha ni ya Jaji Barnabas Samata!.
P
Ilibidi nirudi juu kwenye heading labda niliona vibaya😅

Ndio madhara ya copy&paste bila ya kujiridhisha juu ya usahihi wa habari hiyo.
 
[emoji1787][emoji1787] Mwalusanya J( as he then was) kesi ingekuwa ishatabirika mwisho wake. Serikali ilikuwa inapigwa chini mapema sana, na yawezekana wangeweka pingamizi la kutokuwa na imani na Mheshimiwa Jaji
Hakika
 
Hali ipi? Ya sura zao ama tag Siri ya vifungu vya sheria ? Hebu tuongoze basi!
Mwalusanya alikuwa ni Justice ambaye aliiangusha serikali mara nyingi kwenye maamuzi ya kesi mbali mbali za kikatiba. Aliwahi kukandamiza kuhusu mamlaka ya Raisi na anakumbukwa sana kwa kusema kuwa adhabu ya kifo inakiuka katiba katika kesi ya Mbushuu dominic mjaroje. Hali hii ilimtia matatani katika siku zake za maisha akiwa katika kiti cha kutoa haki.
Ijapo kuwa wanasheria hatuelewani ila hakuna atakae bisha kuwa kwa kesi ya mbeya lazima mwalusanya angeutupilia mbali mkataba wa DP word bila kuogopa. Sasa hivi tungekuwa tunasubiria tuu hukumu kuwa itakuwa na nondo zipi.
Anafananishwa na lod denning wa uingereza anaye kumbukwa ulimwengu mzima katika tasnia ya haki.
RIP Justice Mwalusanya (as he then was)
 
Uongooooo!!
Alinirekebisha kuna picha niliichukua kwenye mtandao nikidhani ni ya justice mwalusanya ila P amesema ni ya samata. Ko nimeamua kuiweka hiyo ili mada ikae sawa
 
Back
Top Bottom