Kwa wanatheolojia kwanini ukitaja Jumapili mbele ya Wasabato wanakosa amani, na kuishia kuinenea mabaya siku hiyo? Je ni siasa, chuki au Imani?

Kwa wanatheolojia kwanini ukitaja Jumapili mbele ya Wasabato wanakosa amani, na kuishia kuinenea mabaya siku hiyo? Je ni siasa, chuki au Imani?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Wapendwa naleta bandiko hili Kwa njia ya swali nikiwa na umakini mkubwa.

Nimezingatia utafiti usotia shaka wala kuegemea upande wowote na ulio na ushahidi wa kutosha

Kwanini ukiitaja siku ya Jumapili mbele ya Wasabato huwa wanakereka na huishia kuitoa thamani siku hiyo?

Kiujumla hawawezi kamwe kuipa siku hiyo sifa njema japo hata kidogo

Ndugu zangu Wanazuoni na wanatheolojia naomba tujadili, je zipo sababu za msingi zinazopelekea hali hiyo?

Niwatakie siku njema
 
Ufunuo 13 na 17 ukasome vizuri.jumapili ni alama ya mpinga kristo
 
Back
Top Bottom