sex haihusu wanaume tu
ina husu wote according to age....
Inaonyesha wanawake ndio wahanga sana wa hili jambo..
And in most cases sisi wanaume ndio tunao'initiate' mapenzi..
Nadhani inabidi kufahamu..why tunafungaga break after once a lady anapokuwa amekupa tunda..
Vitu vingine ni culture zaidi
nchi zingine ni kawaida kwa mwanamke 'kumtumia' mwanaume for sex..
au kukuta mwanamka anakutokea na later anakwambia
it was only sex that i wanted that day ,usinijue please sikutaki..
Ni mara nyingi sana kwa sisi wanaume.. mtu unapokuwa unamfukuzia gal huwa tunashow sana LOVE and CARE and also at a time unakuwa humuoni wa kulinganishana naye..Lakini baada ya ku'do' naye mara nyingi ile pressure na zile swaga za mwanzo hupungua (simaanishi kwa wote)..Hivi hapa issue ni kwamba huwa sisi wanaume Mapenzi yetu yamejengwa zaidi kuwavua c.h..p wadada?..Does this mean that sex ndio factor ya kuendelea kuwa na demu au otherwise?..Hebu tupeane uzoefu basi kidogo..
Kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani. Vyote hivi vinahusisha sex. Maisha ya sasa mahusiana ya jinsia mbili bila sex ni inevitable. Sasa basi, ukimlamba demu afu ukampotezea ujue hapakuwa na love bali kutamani. Ukipenda, hata ukimfumania utasamehe na kuendelea nae. Source: ODM.Inaonyesha wanawake ndio wahanga sana wa hili jambo..
And in most cases sisi wanaume ndio tunao'initiate' mapenzi..
Nadhani inabidi kufahamu..why tunafungaga break after once a lady anapokuwa amekupa tunda..
Do you want to tell me that sex has nothing to do with loving somebody?
If sex is a mere cultural defined act..what about love?..
Where is their correlation?
Kuna tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani. Vyote hivi vinahusisha sex. Maisha ya sasa mahusiana ya jinsia mbili bila sex ni inevitable. Sasa basi, ukimlamba demu afu ukampotezea ujue hapakuwa na love bali kutamani. Ukipenda, hata ukimfumania utasamehe na kuendelea nae. Source: ODM.
ni mara nyingi sana kwa sisi wanaume.. Mtu unapokuwa unamfukuzia gal huwa tunashow sana love and care and also at a time unakuwa humuoni wa kulinganishana naye..lakini baada ya ku'do' naye mara nyingi ile pressure na zile swaga za mwanzo hupungua (simaanishi kwa wote)..hivi hapa issue ni kwamba huwa sisi wanaume mapenzi yetu yamejengwa zaidi kuwavua c.h..p wadada?..does this mean that sex ndio factor ya kuendelea kuwa na demu au otherwise?..hebu tupeane uzoefu basi kidogo..
so, do you agree that to love more a person should be preceded by the way she performs in a bed?