no
ingekuwa kama mama theresa...
Nuns only lol
Tumeshuhudia siku hiz kina dada wakiwa warahisi sana kugawa penzi. Hv we ungekuwa mwanamke ungekubal kugawa penz kirahis? Msiniulize msimamo wangu...
idadi y mademu uliyoshachakachua sahv ndio ungekuta ndio idadi y wanaume walioshakuchakachua ......bora mi nakademu kamoja 2.Tumeshuhudia siku hiz kina dada wakiwa warahisi sana kugawa penzi. Hv we ungekuwa mwanamke ungekubal kugawa penz kirahis? Msiniulize msimamo wangu...
Huna lolote...ungeweza tu kusema kwamba huwezi kwasababu unapendelea kua mwanaume sio unaleta dharau za kijinga.Eti ungekua mwanamke ungeomba uwe mwanamke ...hovyooo!!Wala usingeuweza uanamke ndo maana hukuupewa!!mh! Lizzy samahani km nimekukwaza sidhani km umeelewa concept yangu si dharau ni ya ki mtizamo zaidi wala si kudharau mwanamke. nimeumbwa mwanaume kwa nini niwaze kuwa mwanamke! km ukifahamu kwa nini mwanaume anaweza akawa na mwanamke nje ya ndoa lkn siku akimkuta mkewe na mwanaume mwingine atachinja mtu! that sense of being a man! imagination ya kile sasa ninachomfanyia mwanamke (hakuna kibaya hapo usitafsiri kwamba tunawafanyia kibaya) ila ah nikieleza zaidi labda utaboreka zaidi Lizzy basi ningekuwa mwanamke ninge pray hard niwe MWANAUME
Thanks BOSS!!Ahhh kaniboa mshkaji.Hahha BAK kanifurahisha hapo juu....eti ungemtokea Padre?!moments like this makes me to like u a lot......No nonsense woman....
Yeahh nzuri kishenzi.Really funny kabla hajazoea kua mwanamke na kupepesuka na heals!!!Lizzy,bubu na wengineomwaka jana hivi sikumbuki vizuri timeitv walikuwa na tamthilia ya kihispania inaitwa lalolainahusu mwanaume kiwembe aneitwa laloalimvunja moyo mwanamke mmoja,akafanyiwa uchawi akawa mwanamkeakajiita lola......ni very interestingmwisho alipopewa option ya kurudi kuwa mwanaumealikataa.Inaonekana aligundua kuwa mwanamke kwake kumempa peace aliyokosakwa kuwa mwanaume...Nasikia hii tamthilia ilikuwa maarufu katika nchi 48 duniani......
Lizzy,bubu na wengineo
mwaka jana hivi sikumbuki vizuri time
itv walikuwa na tamthilia ya kihispania inaitwa lalola
inahusu mwanaume kiwembe aneitwa lalo
alimvunja moyo mwanamke mmoja,akafanyiwa uchawi akawa mwanamke
akajiita lola......ni very interesting
mwisho alipopewa option ya kurudi kuwa mwanaume
alikataa.
Inaonekana aligundua kuwa mwanamke kwake kumempa peace aliyokosa
kwa kuwa mwanaume...
Nasikia hii tamthilia ilikuwa maarufu katika nchi 48 duniani......
thanks boss!!ahhh kaniboa mshkaji.hahha bak kanifurahisha hapo juu....eti ungemtokea padre?!
Heheheh...nani angekua anaendesha mass?!no...ingekuwa nuns only...No padre lol
heheheh...nani angekua anaendesha mass?!
Weee 15 sindo kwanza kanapata komunio ya kwanza?!tungekodisha a 15 yearold hivi lolka student ka upadre lol
hahaha uanamke kazi Lizzy! mungu kawajaalia utajiri wa huruma na upendo na uvumilivu sasa kwa dume lililozoea uanaume tuuu ni kazi kuvaa hicho kiatu cha kike na kufiti otherwise unaweza ukaharibu vibaya tuu. si unaona tunasema hakuna km MAMA so mko juu Lizzy!Huna lolote...ungeweza tu kusema kwamba huwezi kwasababu unapendelea kua mwanaume sio unaleta dharau za kijinga.Eti ungekua mwanamke ungeomba uwe mwanamke ...hovyooo!!Wala usingeuweza uanamke ndo maana hukuupewa!!
Ungeanza hivyo kwanzia mwanzo mbona ningekupenda!!Haya asante kwa kurudisha heshima!hahaha uanamke kazi Lizzy! mungu kawajaalia utajiri wa huruma na upendo na uvumilivu sasa kwa dume lililozoea uanaume tuuu ni kazi kuvaa hicho kiatu cha kike na kufiti otherwise unaweza ukaharibu vibaya tuu. si unaona tunasema hakuna km MAMA so mko juu Lizzy!
pooooa! namsikiliza RIHANNA anaimba i just shot man down hahahaUngeanza hivyo kwanzia mwanzo mbona ningekupenda!!Haya asante kwa kurudisha heshima!
hizi sasa dhambi iliyopitiliza.mi mwenyewe ningekuwa mwnaume halafu nyiue wanaume muwe wanawake mngenitambua...maana ningebokoa mpaka tundu za jasho!
Avatar yako mkuu imenistua sana hasa nyakati hizi za usikuSitaki ht kufikiria hiki kitu....namshukuru sn M.Mungu kwa kuniumba na jinsia hii.
Dah, ungechubuka.mi mwenyewe ningekuwa mwnaume halafu nyiue wanaume muwe wanawake mngenitambua...maana ningebokoa mpaka tundu za jasho!
mi mwenyewe ningekuwa mwnaume halafu nyiue wanaume muwe wanawake mngenitambua...maana ningebokoa mpaka tundu za jasho!