Hiyoo kwel?Sitaki kuongeza neno
kuanzia umri gani hilo zoezi lianze.
Mkuu ata ukifyatuana na mwenzako kidogo kama haufanyi kwa Usalama tendo moja Tu waweza pata maradhHapa si jukwaa lake. Umekosea njia.
Mods fanyeni kazi yenu. Huyu jamaa anataka watu wafe kwa UKIMWI maana anahamasisha watu wafyatuane.
Halafu hiyo anatomy iliyochorwa haieleweki: kuna liver, pancreas, ureters, urinary bladder na testis zote zimebebwa na shaft. It is all nonsense and not science. Kuna medical jokes nyingi tu ambazo ziko meant kwa medics. Sasa wewe unaenda ku copy hizo jokes na ku zipaste hapa. Watu wataamini ni kweli na kuanza kufyatuana.
For your information the opposite is the truth. Yaani kufyatuana kupita kiasi unaongeza risk ya cancer of prostate. Ndiyo maana tiba ya cancer ya prostate ni castration (kuhasiwa). Kwa hiyo prevention ya kansa ya tezi dume ni kuhasiwa na siyo kufanya ngono ten times daily kama unavyotaka watu wafanye. Hamasisha midume ihasiwe ili kuepukana na kansa ya tezi dume. Sidhani kama utafanikiwa, midume iko tayari kufa na kansa hiyo kuliko kuwa masai.
Kinachopaswa kufanyika ni wanaume kupima PSA zao kila mwaka ili kuwezesha kugundua saratani hiyo mapema ikiwa bado inatibika.
Ukifa na ukimwi kisa umeona bandi la huyu jamma ni ujinga wakoHapa si jukwaa lake. Umekosea njia.