Jestina
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,828
- 1,712
tumeanza kutrain jinsi ya kukabiliana na vipigo....lol View attachment 48194
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheheheheeee wanawake wa Kikenye noma.
Chezeya Lucy Kibaki....:lol::lol:
Jamani first lady wa kenya mi sijui hua namuonaje... muonekano, mavazi, the way she carries herself...
mimi nataka nioe mwanamke anayepiga...napenda sana ila mimi sitokuja kunyanyua mkono kumpiga mwanamke
Yes!, mabibi wa kikenya wanakuwanga wasupa.mkuu unaamini kuna mbongo mwenye wazo la kuoa mkenya?
wapo wengi tu mbona? Hivi majuzi tulikuwa Kisumu kuna jamaa yangu alipa Mke kule na harusi tayari. sasa cjajua kama shemeji ni mtaalam kiasi gani. Baada ya ile kauli kuwa wanaume wa Kenya wameumua kuandamana kupinga kupigwa na wakeze, mshkaji ameamua kujiunga na gym kwa siri ili kujiweka fit. This is very true!mkuu unaamini kuna mbongo mwenye wazo la kuoa mkenya?