Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Wadau wa MMU tuongee Mahusiano Ijumaa ya leo
Kuna baadhi ya Wapenzi wakikosana hupigana kama njia ya kuonesha hasira zao
Lakini leo tuko na Wanaume. Kwa Mwanaume kumpiga mpenzi wake inaonesha nani ni 'kiongozi' ndani
Au wengine huamini Mwanamke bila kumpiga hasikii na habadiliki
Lakini wengine hufanya hivyo kwa kujua kuwa Mwanamke hawezi kujiteteq hivyo hatakuwa na nguvu na guts za kurudisha mashambulizi
Vipigo hivi hasababisha maumivu, Ulemavu wa kudumu na Wakati mwingine Wanawake hufa kwa kupigwa na Wenza wao
Swali ni je, Kwanini Wanaume wanaamini Mwanamke bila kupigwa hasikii?
Na je, katika zama hizi kwanini bado kuna Wanaume wanaopiga Wenza wao?