Niliwahi kufanya tukio hili mara moja huku kwa Wangindo-Liwale,nikiwa ndo nimeajiliwa huku nikiwa na miaka mitatu kazini,nilikutana na binti ambaye alikuwa kazalishwa na kuachwa,ukweli binti alikuwa mzuri sana ila sasa alikuwa hajatulia.
Tukiwa kwenye mahusiano nikapata taarifa kuwa kuna mwamba anamkula demu wangu,duh moyo uliuma sana,binti alikuwa anapenda kuja kulala kwangu kila jioni maana alikuwa na kazi zake za ushonaji,usiku akija anajishitukia tu,mara untaka kunipiga,nikishika panga mara aseme unataka kunikata,duh sikumuambia kuwa nimesikia ana mtu mwingine.
Siku ya siku ni kamwambia bwna mbona nasikia una mahusiano na mtu fulani,duh bwana wewe binti kanijibu kwani yeye hana mborrow?,nikili nilimtandika sana kwa kutumia waya wa umeme hata sahau,ila nilijuta sana kwa kitendo hicho,naomba mungu anisaidie nisurudi.
Kwa sasa nimeoa niko kwenye ndoa kwa miak 15 ila sijawahi mpiga mke wangu,huwa tumazinguana ilasijawahi nyanyua mkono wangu kumpiga,na sijawahi fikiria kufanya hvyo akinikosea/kumkosea tunayamaliza kiutu uzima,kumpiga mtu mzima kwa lengo la kumbadilisha tabia ni ujinga,huwezi mbadili mtu mzima wa 40yrs ni ngumu.
Wanaumetubadilike tuache kuwapiga wake zetu