Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Dec 16, 2010 #21 Mzee wa Rula said: Upo juu baba nami namuunga mkono huyo shemeji yetu tayari kesha kujua mapungufu yako na kuyakubali. Click to expand... Ukishajijua weye si mkamilifu; huwezi kupoint out kasoro za mwenzako mpaka mkafarakana................siri kubwa ni kujitambua na kujikubali
Mzee wa Rula said: Upo juu baba nami namuunga mkono huyo shemeji yetu tayari kesha kujua mapungufu yako na kuyakubali. Click to expand... Ukishajijua weye si mkamilifu; huwezi kupoint out kasoro za mwenzako mpaka mkafarakana................siri kubwa ni kujitambua na kujikubali
Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,457 Dec 16, 2010 #22 Mzee wa Rula said: Swali? Kama ikitokea watu wakapewa nafasi ya kuoa/kuolewa tena baada ya kuwa katika ndoa aidha ya kidini, kimila au kiserikali ni wangapi ambao wangechagua kuishi na wenzi wao wa sasa? Click to expand... Wooote wangechagua kurudia zoezi la kutafuta mchumba!
Mzee wa Rula said: Swali? Kama ikitokea watu wakapewa nafasi ya kuoa/kuolewa tena baada ya kuwa katika ndoa aidha ya kidini, kimila au kiserikali ni wangapi ambao wangechagua kuishi na wenzi wao wa sasa? Click to expand... Wooote wangechagua kurudia zoezi la kutafuta mchumba!
Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Dec 16, 2010 #23 Rose1980 said: apana asilimia tisini hawatapenda kuish na wake/waume zao Click to expand... We uko kwenye hiyo 90% au hiyo 10% iliyobaki shem?
Rose1980 said: apana asilimia tisini hawatapenda kuish na wake/waume zao Click to expand... We uko kwenye hiyo 90% au hiyo 10% iliyobaki shem?