Kwa wanaume na wavulana - Tell her that she is the one

The Finest

ndo yale yale ...dedication za Ki-magharibi ...............lol
 
Nyumba kubwa smart sana lol
amegundua tupo mchanganyiko humu...
wavulana na wanaume lol
 
The Finest

ndo yale yale ...dedication za Ki-magharibi ...............lol
Hahaha!! Gaijin usitake kunivunja mbavu kama ulivyofanya kwenye ile thread hivi Boss atakuwa anapumua vizuri kweli sasa maana yale mashairi nilikuwa naona mapigo ya moyo yanamuenda mbio huyo lol!!!
 
Kwa yule wangu anayenigusa mtima napenda kumtumia wimbo huu wa Mzee Yusuf uitwao "My Valentine".

Mambo si hayo bwana! Dedication kutoka nyumbani...........:]

Mie leo nimetoa dedication nyimbo za msondo na kidumbak
 
Hahaha!! Gaijin usitake kunivunja mbavu kama ulivyofanya kwenye ile thread hivi Boss atakuwa anapumua vizuri kweli sasa maana yale mashairi nilikuwa naona mapigo ya moyo yanamuenda mbio huyo lol!!!

hahaha nilikuwa nakuna na verse kuhusu mhogo pale lakini nikaona itakuwa overdose niwahurumie :]]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…