Kwa wanaume; naomba ufanye jaribio hili asubuhi hii...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Kama asubuhi hii ofisini kwako kuna mwanamke (hata kama mke wa mtu), ambaye bado hujaonana naye, ukionana naye, katika salamu changanya na neo "umependeza sana". I mean kwa mfano 'Mambo... umependeza'

Then angalia jibu na response utakayopata, kisha tutaidiscuss baadae.

Leo nimeamua niwashirikishe katika tafiti zangu ili akina Marytina wasianze kuniuliuliza mambo ya sample size...
 
kama asubuhi hii ofosini kwako kuna mwanamke (hata kama mke wa mtu), ambaye bado hujaonana naye, ukionana naye, katika salamu changanya na neo "umependeza sana". I mean kwa mfano 'Mambo... umependeza'

Hapa ofisini wapo kibaao ila sipendi kuzoeana nao sasa nifanyeje nitimize ombi lako TUKO?
 
mmmh!!
karibu kahawa, bro......!!!!
 
hahaha haha aaaaaaaaaaaaaa Tuko bana mi kuna wawili washaniambia hivyo leo nimecheka saana coz nimejua wanatekeleza hili l.o.l. Kwa hiyo hiyo discussion ya badae kwao haitanoga kivileeeeeeee... coz response zimekuwa za tofauti kidogo... teh teh
 
Nimefanya_na tena leo nimemwambia bossi wangu,....you knw what kaniambia,....'you are alwayz +ve ..........(she mentioned ma name) which is good and very few men can do'.....ni mama mtu mzima na bwana ake ni professor yuko S.A...........ZOEZI LINAENDELA na mtokeo zaidi ntayaripoti
 
Hapa ofisini wapo kibaao ila sipendi kuzoeana nao sasa nifanyeje nitimize ombi lako TUKO?

Duh... Hata kumsalimia mtu ni kuzoeana nae? Unaonekana we ni boss hapo ofisini, wale maboss ambao wanadhani ikisalimiana na mtu anakuzarau...lol
 
Nimefanya_na tena leo nimemwambia bossi wangu,....you knw what kaniambia,....'you are alwayz +ve ..........(she mentioned ma name) which is good and very few men can do'.....ni mama mtu mzima na bwana ake ni professor yuko S.A...........ZOEZI LINAENDELA na mtokeo zaidi ntayaripoti

Keep it up, keep it up...
 
hahaha naona mnapeana madarasa ..nimeipata mbinu yenu ..maana wewe umesema hata kama ameolewa!
Kama kuna mtu atanijia leo hii ..
nitamwambia thanx na uzuri wangu unachangia ..kazi ya mme wangu hii kunipendezesha teteteteh endeleeni na harakati zenu
kwa herini!
 
Ahhhhhhhh kumbe
Atakaye niambia umependeza
Leo Yake ngumu .. asanteni na
Kila lakheri
 
hahaha naona mnapeana madarasa ..nimeipata mbinu yenu ..maana wewe umesema hata kama ameolewa!Kama kuna mtu atanijia leo hii ..nitamwambia thanx na uzuri wangu unachangia ..kazi ya mme wangu hii kunipendezesha teteteteh endeleeni na harakati zenukwa herini!
Hahahahahahahah lol FL1 nimependa comments mamiUmenichekesha kweli kweli..
 
hahaha naona mnapeana madarasa ..nimeipata mbinu yenu ..maana wewe umesema hata kama ameolewa!Kama kuna mtu atanijia leo hii ..nitamwambia thanx na uzuri wangu unachangia ..kazi ya mme wangu hii kunipendezesha teteteteh endeleeni na harakati zenukwa herini!
hahahahahaha! Hili nalo neno FL.Mimi atakayeniambia umependeza namwambia 'najua kama nimependeza'
 
hahaha haha aaaaaaaaaaaaaa Tuko bana mi kuna wawili washaniambia hivyo leo nimecheka saana coz nimejua wanatekeleza hili l.o.l. Kwa hiyo hiyo discussion ya badae kwao haitanoga kivileeeeeeee... coz response zimekuwa za tofauti kidogo... teh teh

Ha ha haaaaaaaaaaa! sina mbavu
 
Uambiwe umependeza??!Tangu ulini ukapendeza wewe!!??Shkamoo!
Hahahaha lolNaelewa nimependeza tanguSiku ili mwezi ule na karne ile Nilipodondoshwa mmmhhhNway marahaba hujambo ae..Umependeza kweli leo.........
 
Hahahah...jipe moyo!!Sijambo japo unanisifia uongo!Ntapendezaje wakati sijavaa nguo?!
 
Back
Top Bottom